IMG-LOGO
Trending Now: PUBLIC NOTICE ON REGISTRATION OF LEGAL AID PROVIDERS TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA

Need legal aid? Find legal aid providers near you

How do I

Get Legal Aid Services?

By Visiting MocLA Offices or legal aid offices at your region

Apply extension of time

Hklkasdklmkldlkajdmakldasd

Sample Question

Sample Answer

How to get legal aid services (Napataje Msaada wa Kisheria)

Kwa mujibu wa Sheria ya Msaada wa Kisheria ya 2017 Wizara inawajibika kutoa msaada wa kisheria kwa wanachi. Ili kurahishisha upatikanaji wa huduma hii Wizara imeweka mfumo wa kielektroniki utakaokuwa unapokea na kuchakata maombi ya wananchi wenye uhitaji wa huduma za msaada wa kisheria. Mfumo unasaidia Wizara kuwaunganisha wananchi walioomba msaada wa huduma za kisheria na kanzidata ya watoa huduma za msaada wa kisheria walio karibu yao. Ili kupata huduma hii Wananchi, wadau na taasisi zitembelee anwani ya https://smmis.sheria.go.tz/ na kufuata maelekezo ya namna ya kutumia.

How to be registered as a legal aid provider (Kusajiliwa kuwa mtoa huduma za msaada wa kisheria)

Usajili wa watoa huduma za msaada wa Kisheria ni jukumu la msingi la Wizara ya Katiba na Sheria kwa mujibu wa Sheria ya Msaada wa Kisheria ya 2017. Taasisi na watu binafsi wanaotoa huduma za msaada wa kisheria nchini wanawajibika kusajiliwa na Wizara kabla ya kutoa huduma hizi. Hivyo basi Wizara imeweka mfumo wa kielektroniki unaosimamia zoezi hili. Mfumo huu unatumika kurahisisha Wizara kusajili kielektroniki watoa huduma wa msaada wa kisheria, kutambua maeneo yao, kuwafuatilia na kuwasimamia. Pamoja na usajili faida za mfumo ni kuwawezesha wananchi wanaohitaji huduma ya msaada wa kisheria kuwatambua watoa huduma za msaada wa kisheria walio karibu yao na kufanya mawasiliano nao kwa urahisi.Ili kuweza kusajiliwa kama mtoa huduma za msaada wa kisheria tembelea https://legalaid.sheria.go.tz/ na kufuata maelekezo.

What is

Legal Aid Services?

Is a service provided by Legal aid Services

Legal Aid Week?

Is a week of ......

Statistics Dashboard

+
Live help!